Web Analytics
UBUYU WA TAARABU BAUNSA WA MZEE YUSUPH AJERUHIWA

UBUYU WA TAARABU BAUNSA WA MZEE YUSUPH AJERUHIWA

<

Bendi mpya nchini tanzania wakali wa town modern taarab imeingia kambini rasmi leo katika hotel ya kifahari pembezoni mwa bahari ya hindi huko bagamoyo ...

Thania msomali ni mwanamuziki muimbaji anae chipukia na kwa sasa ndio jicho la bendi mpya ya "moyo modern taradance" inayoongozwa na mkubwa fellah chini ya ...

Baada ya jana kufanya makamuzi ya nguvu ndani ya ukumbi wa kapakabana mwananyamala A, bendi bora ya wakaliwao modern taradance "team masauti" leo inahamia ...

WAIMBAJI WA MOYO MODERN TARADANCE KATIKA POZI LA PAMOJA.

Muimbaji asya mariam "utamu" wa bendi ya wakaliwao modern taradance amerejea rasmi kikosini jana tarehe 25/9/2015 katika show ya kapakabana mwananyamala A ...

Hashim said Igwee, ambae kwa sasa wapenzi kadhaa wa mashauzi wamempachika jina la "yuda eskarioti" baada ya kuihama bendi hiyo na kujiunga na mahasimu wao ...

Tetesi hizi zimezagaa hapa jijini dar kwa sasa na mkurugenzi wa wakaliwao modern taradance thabit abdul alithibitisha hilo kwa kusema kuwa alipigiwa simu na ...

Niliamua kuachana na mashauzi classic na kuwa msanii huru ndipo niliporekodi wimbo wangu wa kwanza kama msanii huru wimbo uitwao "hivi ndivyo nilivyo" ambao ...

DOWNLOAD NA USIKILIZE WIMBO MPYA "USHAURI WA BURE" TOKA KWA DOGO JACK SIMELA WA JAGWA MUSIC!

Akizungumza na mtandao huu makini mkurugenzi wa bendi hiyo thabit abdul "mkombozi" alisema kuwa siku ya idd mosi tarehe 24/9/2015 watakuwa katika ukumbi wa ...

Nae hashim akiushukuru uongozi wa wakaliwao alisema kuwa nitaifanya kazi hii kwa bidii kubwa na kuhakikisha kuwa wasanii wa wakaliwao wanakuwa na nidhamu ...

Akizungumza na mtandao huu mkurugenzi wa bendi hiyo thabit abdul mkombozi alisema kuwa katika onyesho hilo maalum watasindikizwa na bendi ya twanga pepeta ...

... katika ukumbi wa center grill zamani flamingo pale maeneo ya magomeni mwembe chai, wapenzi na wadau wetu tujumuike kwa pamoja alimalizia kwa kusema.

THANIA MSOMALI:- BI SABAHA SALUM MUCHACHO NDIYE ALIENIFANYA NIKAIMBA NAKUPENDA MUZIKI WA TAARAB. - Pambe za Taarab

Hii ni sikukuu muhimu sana kwa waumini wa kiislam na kwa kulitambua hilo uongozi umeonelea ni vyema kutoa salamu za heri kabisa na kuwatakia ziada na fanaka ...

MOHAMEDY LLYAS PROFESOR WA TAARAB ASILI ALIEIFANYIA MENGI TANZANIA, LAKINI JE SERIKALI INAMTHAMINI?